Swahili
Présentation
djambo,niko munganga; nita tumizia téléphone djuu ya maulizo niko naye;unaitika ?
Muuguzi
Daktari
Huduma ya kwanza
kujitolea
Mwakilishi wa Huduma Kwa Wateja
Mwanafunzi wa Madawa
Mkunga
Katibu
mlezi
Identité
unaweza kunionesha passeport yako
unaweza kunionesha karatasi( ao mukanda ) ya identité yako
unaweza kunionesha mikanda ao makaratasi na djina yako
unaweza konionesha carte ya matuzo bulaya
Uko na bima ya binafsi?
weye peke utalipa matunzo ote
haiko weye djo utalipa matonzo yote
unatokea mungini kani
masiku iyi ; unaikala ku adresse gani
uko na numéro ya téléphone inyewe tunaweza kuku pata
Attente
na kuatsha utshunge
ku kiti
ku banc
ku salle d'attente
totakuya kukuita
usi kule, usinue, usi vute saha uko naongoya
bandugu bana pasha kuongoya hapa ao ku starehe hapa
Docteur anaweza kolomba ba examens ingine,banaweza kukamata damu,
ao kufania radio ao scanner;ao bana kuhomba uikale djuu baangalie vile utakuwa
tuna kuomba usi kule,ao usinue kama docteur haya sema kitu sababu ,
ba examens ingine inahomba ukuwe mwunywe hakukula
inahomba utshunge saha moya djuu yakupata madjibu ya damu
Accueil
Una tatizo gani ? nini inakufikia
Una maumivu fulani ?
Ndio
Hapana
Unionyeshe mahali ambapo una maumivu.
Ninataka kukuchunguza.
Kwa kutumia namba kati ya 0 mpaka 10 , unafikiri kiasi cha maumivu yako ni kipi?
(ukijua kwamba 10 ndicho kiasi kikubwa sana cha maumivu, ambacho mtu hawezi kuvumilia)
0
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
Toa nguo niweze kukupima .
0
Kaa kwa kiti.
Lala kwa meza.
Lala kwa hiki kibao.
Neurologie
Ulizimia ?
Unajua tarehe ya leo ?
Unajua uko wapi ?
Endelea kukitazama kidole changu ninapo kitikisa.
Unaweza kuitikisa mikono na miguu yako ?
Ninataka kuigusa mikono na miguu yako, je, umetambua kwamba nimekugusa ?
Tazama macho yangu, ninataka kuchunguza mboni za macho yako.
Una pini au sindano? Nionyeshe wapi
Piga kwa mikono yangu.
Fungua macho yako.
Fungua mdomo wako.
Inua mkono wako wa kulia.
Unaumwa na kichwa ?
ma umivo ilianza
ma umivo ilianza kidogo kidogo
ma umivo ilianza mara moya
Unahisi maumivu shingoni ?
uli safiria mienzi ilio pita
mugini gani
Mwangaza inakusumbua ?
kelele inakusumbua ?
Nitadunga kidole niangalie sukari kiwango ya sukari.
Pneumologie
Ninataka kuuweka mkono wangu kwenye tumbo lako ili kuona ni mara ngapi unavyopumua kwa dakika.
Endelea kupumua kama kawaida lakini usiongee.
Je, unahemahema ,ni kusema, ni kama vile unaishwa na pumuzi ?
Vutaa pumzi na uzuie.
Vutaa pumzi kawaida.
Pumua kabisa.
Unavuta sigara?
Uko na pumuu(asthma)?
Umetumia tiba yako ya pumuu?
Umevuta moshi wowote?
Unaweza puliza mapua/pua yako nione kama kuna moshi wowote?
Cardiologie
Eleza maumivu yako?
maumivu hupunguka
Nikali ?
inachoma ?
hii uchungu unaskia popote kwa mwili ? Nioneshe wapi ?
kwa mda gani umekua na huu uchungu ?
minite
dakika
masiku
Ninataka kuchunguza jinsi moyo wako unavyopiga-piga.
Ninataka kuponda kidogo kucha yako
Ninataka kuchunguza Shinikizo lako, ni kusema, mwendo wa damu katika mwili wako.
Je, moyo wako unapiga-piga haraka na kwanguvu ?
Fungua mdomo na nyanyua ulimi. Nitakupatia dawa
Dawa ina tuliza uchungu ?
Unakunywa pombe ?
Una ugonjwa wa kisukari ?
Una kiwango cha juu cha kolesteroli ?
Nitapima moyo wako, haitakuumiza lakini jaribu kutosonga kwa sekunde kadhaa.
Malaise
Je, ulitambua alama fulani-fulani kabla ya kupatwa na maumivu yako ?
Ulijihisi namna gani wakati ugonjwa wako ulikushika ( kuwashwa, maumivu, au ?)
Kuwakwa
Vertigo
Uchovuu
Umewahi kuwa na kizunguzungu hapo awali?
Je, maumivu yako yameanzia mahali fulani na kisha yemesambaa? Yanasambaa kwenda wapi ?
Uliisikia maumivu hayo mahali gani ?
Maumivu yako yalichukua muda gani ?
Je, haukojoi siku hizi ?
Ulijiuma ulimi ? Fungua kinywa.
Je! Umekua ukipata mishtuko?
Umekula leo?
Digestif
Nionyeshe pale panauma
Uchungu unasambaa mahali pengine? Wapi?
Umekonda katika miezi iliyopita ? Umepoteza kilo ngapi ?
Unahisi kama unaungua wakati unakojoa ?
Umeona damu kwenye migojo(urine) yako?
Ni wakati gani uliiona hedhi mara ya mwisho ?
Je! Wewe ni mjamzito?
Ulikojoa kwa mara ya mwisho saa gani leo ?
Unahisi constipation
Unahisi constipation
Unahisi kichefuchefu?
Unaharisha? (Umeharisha?)
Umetapika?
Una damu kwenye kinyesi?
Unahisi gesi kwenye matumbo mara kwa mara?
Nitahitajika kufanya uchunguzi wa mjiko kwa mbinu dijitali, je unakubali?
Inabidi ukojoe kwenye hiki chombo ili tukapime mkojo. (Weka mkojo kwenye chombo hiki Ili tukaupime)
Hakikisha umezingatia usafi kabla kukojoa kwenye kijibati ambacho umepewa.
Infectieux
Umeumwa ama kudungwa?
Nionyeshe wapi
Nionyeshe mahali doa za kwanza zilijitokeza
Mguu umekua mwekundu kwa muda gani?
Linawasha?
Unafaa kubaki katika kutengwa
Unafaa kuvaa hii barakoa
Umekua kwa uhusiano wa kimapenzi bila kinga?
Nitachukua joto lako
Ophtalmologie
Uwezo wako wa kuona ni dhaifu?
Una tatizo la kuona mara mbili?
Una maumivu ya kichwa?
Unahisi kama chumba kinazunguka?
Umegongwa kichwani hivi karibuni?
Antécédents
Una ugonjwa fulani (ugonjwa wa kisukari, kupanda kwa shinikizo la damu (hypertension) ?)
Ulilazwa hospitalini siku za karibuni ?
Unatumia matibabu au matunzo fulani siku hizi ? ( ni matibabu gani ?)
Ni daktari aliyekuandikia agizo la dawa unazotumia ?
Kuna dawa, chakula , au kitu kingine ambacho kinakudhuru ukikitumia ? (ni vitu gani ?)
Kuna watu ambao wameumwa magonjwa fulani katika familia yenu ?
Pédiatrie
Mtoto amepoteza uzito wowote? Kiasi gani?
Mtoto amepewa chanjo zote za vaccine hadi leo?
Watoto wako wengine ni wagonjwa?
Anakula vizuri?
Anatapika ?
Anaonekana amekasirika kuliko kawaida?
Anaonekana amechoka kuliko kawaida?
Anaonekana kuhara?
Gynécologie
Wewe ni mjamzito?
Una miezi mingapi ya mimba?
Unakuwa na hedhi?
Umepoteza damu yoyote?
Ilikua damu nyekundu ama nyeusi?
Ulikuwa na shida wakati wa ujauzito wako wa mwisho?
Una uchungu wa kuzaa?
Maji yako yamevunjika?
Unahisi mtoto akisonga?
Una uzazi wa mpango wowote?
Nahitaji kufanya uchunguzi wa ugonjwa wa uzazi. Tafadhali lala kwenye meza
Unahitaji kuondoa chupi yako
Traumatologie
Ulirushwa kutoka kwenye gari?
Mlikua mnaenda na kasi/spidi kiasi gani?
Ulikua umevalia kofia ya chuma/kujikinga?
Ulikua umevaa ukanda wa kiti?
Ulianguka chini?
Ulianguka kutoka urefu kiasi gani?
Unatumia anticoagulanti ama dawa za kuifanya damu kuwa nyembamba?
Nitakupa mshipi wa shingo ili kuichunga shingo yako
Nahitaji kuongeza antiseptiki kwenye jeraha
Nahitaji kushona jeraha
Nataka kufunga kidonda
Nitakupa nusukaputi ya kienyeji kwa ajili ya jeraha lako
Tafadhali usisonge.
Nitakuweka kwenye kalibu
Unafaa upasuaji
Examens
Unafaa kuwa
Naenda kukupa
Naenda kueka kwa mdondondo
Naenda kuchukua damu kiasi
Naenda kufunga kidonda
Naenda kukudunga sindano.
Naenda kukusafisha kabisa
Skani
Eksirei
kutupwa
Ultrasound
Operesheni
leo
kesho
Unafaa kuoga na uoshe nywele yako kabla ya operesheni
Kipimo hakina uchungu
Baada ya operesheni, utakua
Baada ya operesheni, utakua na katheta
Tubu ya kulisha
Mrija wa kupitisha usaha
Kovu
Unahitaji kuvua jewelry na piercings
Unahitaji kutoa rangi ya kucha
Unahitaji kutoa dentures zako or hearings aids zako
Tueleze ikiwa una vifaa vifuatavyo mwilini:
kifaa cha kurekebisha mapigo ya moyo
vali ya kurekebisha mapigo ya moyo
mrija wa kuzingatia upitaji wa damu na vioevu vingine
kiungo bandia
vikaza vya ubongo
kifaa cha kuzidisha uwezo wako wa kuskia
jicho bandia
Baadhi ya chuma katika mwili
difribuleta
kituo cha kupitisha dawa na kutoa damu mwilini.
Je unanyonyesha? Unanyonyesha?
Unaweza kukaa ?
Unaweza kusimama ?
Unaweza kutembea ?
Traitements et consignes
Nakupa/nakupea
Nakupa/nakupea dawa
Nakupa/nakupea ya maumivu
Nakupa/nakupea ya viuavijasumu.
Lazima usinywe.
Lazima usile.
Haupaswi kuamka.
Lala Kwa mgongo
Lazima usivute sigara.
Kutupigia simu, bonyeza hapa.
Ili kuwasha au kuzima taa, bonyeza hapa.
Vyoo viko hapa.
Bafuni iko hapa.
Chumba chako iko hapa.
Conclusion
Umevunjika mfupa /amevunjika mfupa
Hujavunjika mfupa
Unahitaji upasuaji
Uje kesho /itabidi umekuja kesho
Unahitaji kurudi ndani
Unahitaji kutolewa nyuzi
Unahitaji stepu
Unahitaji magongo
Unaweza kwenda nyumbani.
Unahitaji kwenda hospitalini.
Unahitaji kukaa hospitalini.
Ningependa kuhama chumba